Msaada jamani!!!!!!

Msaada jamani!!!!!!

naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!

Mhhh! hujui cha kufanya baada ya kujua 50% ya yote aliyokwambia ni uongo!? Unasubiri kugusishwa miwayawaya?
 
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!

heeeeeee pole sana ndugu yangu huyo wa kwako ana PHD kwenye uongo ukifatilia zaidi utakuta ana na familia kabisa, cha kufanya achana nae tu anakupotezea mda. Alafu vitu kama chuo, na course sio vya kudanganya maana utaumbuka ila kama ameweza na huko huyu kashindikana.
 
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!
Dada Happy huu ntakaokupa ni mtazamo wangu,

Mi naamini kabisa kwamba kila binadamu ana vitu vyake ambavyo huwa hapendi mtu mwingine avijue unless huyo mtu ni wa karibu sana kwake. Hii hufanya mtu kutokuwa tayari kutoa ukweli halisi kwa kiasi kikubwa mpaka pale anapomuamini kabisa mtu anayempa ukweli huo. Kwahiyo naamini kwamba kwa namna uhusiano wenu unavyoendelea huenda angekuja kukupa ukweli hapo baadae hata kama ni kidogo kidogo.

Cha pili ni kitendo cha wewe kuchukua simu yake, kwa mtazamo wangu mimi mahusiano huweza kuonekanayanakuwa strong angalau pale mnapokuwa mmefikia kama miezi sita na zaidi kweny mahusiano. Kabla ya hapo kwa kiasi kikubwa bado wahusika wote wawili au mmojawapo huwa na hanging relationship za nje huko ambazo automatically huanza kupungua na kwisha kabisa pale mahusiano ya sasa yanapoonekana kuwa stable. Kwa mtazamo wangu mimi katika kipindi hicho "Don't Touch Your Partners Phone"

Maoni yangu, usivunje mahusiano mliyonayo sasa kwasababu atasema ndio maana hakuvunja mahusiano yake ya awali kwasababu hakuwa na uhakika kama mahusiano yenu yatadumu, so endelea kumuonyesha kwamba you are there ila tu mwambie akuamini na akwambie ukweli wa mambo yake na uko tayari kuwa na yeye kwa yeye na sio kwa historia yake

Ni hayo tu
 
Wewe unataka tukushauri jinsi ya kuishi naye au jinsi ya kichana naye?
Mbona vitu vingine haviihutaji ushauri ni maamuzi tu!

Haya take this:-
Huyo anakupenda ndio maana yuko na wewe, halafu mtoto wa kike huruhusiwi kuchunguza Simu za mwanaume. Past yake haina maana kama amekuzawadia present yake!

well said kaunga,kwa nini tunachokonoa chokonoa past history za wapenz wetu.ukimtaza kuku anakula nini hautamla.
 
duh, penzi hardly four months malalamiko yameshaanza... kama umepata bahati ya kuujua ukweli mapema, mpige chini huyo jamaa la sivyo utakujalia kilio cha mbwa mdomo juu
 
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!
Soma mdogo wangu unaweza kupata kichaa bure kwa ajili ya mwanamme,si unakumbuka kale ka mgogoro kengine ulikoomba ushauri?
 
kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

:flypig: :flypig: :flypig: :flypig: :flypig:
 
hapo me cijaelewa unatakaje kitu umeshagundua tukushaurije sema kama unataka tukushauri kuachana nae au kuendelea nae vipi
 
Back
Top Bottom