Msaada jamani!

Msaada jamani!

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
10,965
Reaction score
5,339
Kwa wale wazoefu wa maswala ya bandari na TRA naomba mnijuze kwa kuwa nimeagiza vitu vifutavyo kutoka nje TRA na Bandari wanaweza kunitoza bei gani? 1.Pikipiki 2.TV 32" 3. Power tiller 4.rice transplanter? nomba mnifahamishe kwa asilimia tu inatosha!
 
Cheki na clearing agent, Ila kwa kifupi cost huwa ziko juu sana kuna mlolongo wa cost mkuu Ila hiyo ya Mchere haina Kodi nijuvyo ila ghalama za Bandari ziko Palepale,
Ila cheki nao na jaribu kucheki na zaidi ya Mmoja make kila mtu huwa anakuja na caliculation tofauti na hapo ndo ninapo choka
 
Ushuru unatofautiana pikipiki ni cc ngapi ??tv ni flat au ??na ni aina gani ??lakini kukujibu kwa ujumla utatakiwa kulipia 20% vat na 25% import duty pia kuna income duty...zaidi ya hapo kuna chaji za bandarini...hizo ni tra tu...sijakupa jibu ila nimekupa picha ilivyo...tutapata hesabu kamili iwapo tutajua detais na cost na gharama za usafiri toka kwenye nchi uliyonunulia yaani CIF(cost..insurance..fleight)nashukuru
 
Mimi ninavyo Jua kwenye Rice transplnter kodi ni 0, labda ghalama za Bandarini tu, Mkuu cheki na Agent ila Agent wengi njaa sana kila mmoja atakuja na caiculation tofauti, Ila ukitembelea website ya TRA kuna % wanazo charge n si unajua inachajiwa kulingana a CIF price
 
Sina uhakika kama kuna 0% katika kuagiza kitu nchi hii...navyojua kuna punguzo..kwa mfano ata wanaposema wanajeshi na walimu wanaingiza vitu kwa excemption sio 0% vat wanalipa kama kawaida ila income tax na import duty ndio hawalipi...ata unapoingiza zana za kilimo kama tractors kuna vat ila ushuru mwingine hulipi...suala lako wewe ni kwamba pikipiki ni cc ngapi kumbuka pia na chasis namba yake..na hizo tv kama ni flat tra wanaweka ushuru juu sana...chaji za bandari si kubwa inategemea mzigo wako una cbm ngapi...tafuta agent mzuri mwenye ofisi maana kuna maagent wengi wenye ofisi za briefcase...+971504374387 dubai
 
umeniacha kama sio umetuacha

huwezi kumuacha google.., maana yake ni:-

Look forward to all the last days of work fun, full of energy and strength.
Together Forum building was bared.
Tran in
(By the way its Vietnamise)


Anyway kwa aliyeuliza swali.., charges huwa wanachaji kutegemea CIF percentage (cost including freight) kujumlisha na Vat na other charges.., kuna vitu havina ushuru kama agricultural products, full computer system n.k (hapa unalipa vat pekee) luxurious products na cosmetics zina ushuru wa juu, cha maana weka proof ya transaction zako zote.., kumbuke ukicheza na invoice ukashusha bei jamaa huwa wana-uplift kulingana na bei zilizopo kwenye system yao hivyo nadhani rahisi wasiliane na mtu atakayekufanyia clearance (clearing and forwarding agent) sababu atakuwa alishaagiza vitu kama hivyo atakwambia huwa wanachaji ngapi exactly
 
Back
Top Bottom