Wadau nna kijana wangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu kapata division one anataka kusoma combination ya EGM nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba kujuzwa shule ipi ya serkali ya wasichana ni nzuri kwa EGM
Wadau nna kijana wangu
amemaliza kidato cha nne mwaka huu kapata division one anataka kusoma
combination ya EGM nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba kujuzwa shule ipi
ya serkali ya wasichana ni nzuri kwa EGM