Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 216
- 406
Wadau nna kijana wangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu kapata division one anataka kusoma combination ya EGM nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba kujuzwa shule ipi ya serkali ya wasichana ni nzuri kwa EGM