Habari zenu jamani!
Mimi nimepata IV ya 27 na matokeo yangu yalikuwa hivi CIV-F ENG-D
GEO-F KISW-C HIST-F PHY-D CHEM-C BIO-C MATH-F Nilikuwa nataka nikasome
form five shule za private comb ya PCB ila nahofia math nina f naweza
kukubaliwa kweli? au nisubiri tume inaweza kuleta mabadiliko. au kama
kuna jambo jingine naweza kufanya zaidi ya hapo? Nisaidieni jamani
nisije kukaa mtaani tu na mwisho wa siku nakuwa teja