Habari zenu jamani! Mimi nimepata IV ya 27 na matokeo yangu yalikuwa hivi CIV-F ENG-D GEO-F KISW-C HIST-F PHY-D CHEM-C BIO-C MATH-F Nilikuwa nataka nikasome form five shule za private comb ya PCB ila nahofia math nina f naweza kukubaliwa kweli? au nisubiri tume inaweza kuleta mabadiliko. au kama kuna jambo jingine naweza kufanya zaidi ya hapo? Nisaidieni jamani nisije kukaa mtaani tu na mwisho wa siku nakuwa teja