kauzu zaidi ya dagaa
Member
- Mar 2, 2013
- 37
- 5
Well said my dear Kaunga....hivi wanaume wooooooote ambao wanawake wao wanawacheat ni kwakuwa wana uume mdogo?????????????????????
WEWE shetani yupo na ataendelea kuwepo, na mbaya zaidi hakosi sababu za kuwashawishi watu wafanye dhambi, tena sababu anazokushawishi nazo sio tu zina logic but also scientific na social facts. Kama sio uume mdogo, basi ugonjwa wa kisukari, kama sio hiyo basi, upungufu wa nguvu za kiume, la sio hiyo basi kufilisika au kufungwa jela, kama hiyo haitoshi basi vajay kubwa, la sio hilo basi mwanamke ana gubu au mchafu au la hana umbile zuri kama la Kim kardash au sio mchakarikaji kama lara 1 au sio mama mwema kam gfsonwin au FP au hana mwanya kama wa snowhite.
There 101 millions reasons za kukufanya utembee na guy/gal next door; lakini there is only 1 reason ya kuishi na mume/mke wako nayo ni UPENDO kama wa Mungu (YESU) kwa watu wake (KANISA).
Again na dawa ya kutibu root cause ya mkeo kutokuwa mwaminifu ni SALA, maana udogo wa dushelele ni 1 kati ya sababu 1,000,000 ya kwenda kwa mwingine.
Well said my dear Kaunga....
Huyo mke kajitafutia tu kisababu cha kumfanya afanye hayo anayoyataka, siyo sababu ya uume mdogo......
Tunasikia kila siku kuwa siku hizi wake za watu tunaongoza kwa kutoka nje, sidhani kama sisi wote waume zetu wana uume mdogo....... tunajitafutia tu sababu hata pale ambapo hakuna sababu ya kufanya hivyo tutaitafuta.....
Mtoa mada.... jina limekuwa refu sana, lakini najua kwa vile unaomba ushauri basi utapitia kila post...
mimi sikushauri kutumia dawa yoyote..... unataka kuniambia huyo mdada mlimuoana kabla hamjatest? kama mlishapitia huko kwa nini hakukimbia kabla hajajifunga?
kama hamkupitia huko basi imekula kwake maana wewe ndo aliyekuchagua......
Wewe muombe Mungu wako akusaidie kumtuliza mkeo, kama sisi wamama tunapomliliaga Mungu atulize waume zetu wababa nanyi mna kazi hiyo pia.
Asitie huruma wala nini, asonge mbele tu atafika.....umeona eeh, halafu kamtoa confidence mkaka wa watu hadi anatia huruma.
Mungu atusaidie kwa kweli!
well said Kaunga.hivi wanaume wooooooote ambao wanawake wao wanawacheat ni kwakuwa wana uume mdogo?????????????????????
WEWE shetani yupo na ataendelea kuwepo, na mbaya zaidi hakosi sababu za kuwashawishi watu wafanye dhambi, tena sababu anazokushawishi nazo sio tu zina logic but also scientific na social facts. Kama sio uume mdogo, basi ugonjwa wa kisukari, kama sio hiyo basi, upungufu wa nguvu za kiume, la sio hiyo basi kufilisika au kufungwa jela, kama hiyo haitoshi basi vajay kubwa, la sio hilo basi mwanamke ana gubu au mchafu au la hana umbile zuri kama la Kim kardash au sio mchakarikaji kama lara 1 au sio mama mwema kam gfsonwin au FP au hana mwanya kama wa snowhite.
There 101 millions reasons za kukufanya utembee na guy/gal next door; lakini there is only 1 reason ya kuishi na mume/mke wako nayo ni UPENDO kama wa Mungu (YESU) kwa watu wake (KANISA).
Again na dawa ya kutibu root cause ya mkeo kutokuwa mwaminifu ni SALA, maana udogo wa dushelele ni 1 kati ya sababu 1,000,000 ya kwenda kwa mwingine.
well said Kaunga.
naomba nirudie tena msemo wangu yakwamba simwonei huruma mtu afanyaye umalaya kwasababu ya tabia manake tabia haina dawa na huyu mke wa rafiki yetu ni miongoni mwa watu wa aina hii.
hakuna sababu inayojustfy tabia mbaya miongoni mwetu manake hata kwenye sheria kutokujua sheria hakukupi sababu ya kuvunja sheria.
huyu mtoa mada atulie na aendelee na maisha yake ya kuwa masafi na ajipime nafsini mwake kweli kwamba ni msafi??? na kwamba alichokisema hapa ni kweli ndio hali halisi?? manake jamani...........................
Kaunga unajua mioyo ya watu wewe?? yaani huruma namwonea sana huyu mtoa mada ila bado napata kigugumizi kama kweli kama anasema ukweli ulioko naafsini mwake. nitakusimulia kisa kimoja cha mtu ndipo utakapogundua kwamba mwanadamu moyo wake ni kichaka kikubwa.umeona eeh, halafu kamtoa confidence mkaka wa watu hadi anatia huruma.
Mungu atusaidie kwa kweli!
Kaunga unajua mioyo ya watu wewe?? yaani huruma namwonea sana huyu mtoa mada ila bado napata kigugumizi kama kweli kama anasema ukweli ulioko naafsini mwake. nitakusimulia kisa kimoja cha mtu ndipo utakapogundua kwamba mwanadamu moyo wake ni kichaka kikubwa.