Msaada jamani

Msaada jamani

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Mimi ni mpenzi wa mambo yetu yalee,pombe.Zamani nilikuwa nakunywa bia mpaka chupa 6 bila kilewa,lakini siku hizi glasi moja tu ya bia nalewa,je kuna tatizo lolote la kiafya wataalamu???
 
labda umezeeka ama ulikuwa kuna kipindi hujanywa muda mrefu,ni mawazo yangu tu,wacha waje walevi wengine watoe ushauri wao
 
Unywaji wa pombe ni hatari kwa afya yako.
 
ushawahi kupima ufanyajikazi wa ini lako? najaribu kufikiria kuwa huenda uwezo wa ini kufanya detoxification umepungua...
 
Kwani ni lazima kunywa mkuu, nadhani imetosha sasa, ni ishara za Mungu au za mwili tu kuwa sasa basi, tumia vitu vingine kama Malta au chai
 
ushawahi kupima ufanyajikazi wa ini lako? najaribu kufikiria kuwa huenda uwezo wa ini kufanya detoxification umepungua...

Sijawahi kupima ini mkuu,je kuna dalili nuingine ya ini kutofanya kaz vzr mbali na hii??
 
Kwani ni lazima kunywa mkuu, nadhani imetosha sasa, ni ishara za Mungu au za mwili tu kuwa sasa basi, tumia vitu vingine kama Malta au chai

Thanx mkuu,ila nlitaka kujua kama kuna tatizo kiafya
 
Sijawahi kupima ini mkuu,je kuna dalili nuingine ya ini kutofanya kaz vzr mbali na hii??

Nimejaribu kuhisi tu mkuu...sina maelezo ya kina kuhusu hilo.
 
Ukiona hivyo ujue ni sgnal/alarm inakuonyesha kuwa Hiyo pombe haikufai..
Yaaani acha kabisa
 
afadhali umehis umeanza kupata matatizo mkuu,,,,bila hivo usingeogopa,,ungeendelea kunywa tuu, hivi mkuu kwenye matangazo ya pombe husikiagi wakisema UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIAS NI HATARI KWA AFYA YAKO,,,hujawah sikia chief?
 
Back
Top Bottom