Wana jf,nina gf wangu ambaye alikuwa anakaribia kubleed,yaan akanambia karibu ataingia bleed na dalili za kubleed kaziona,sasa nika du naye bila kinga..saiv ananambia ana mimba..na ninavyojua akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je mimba hii ni yangu au changa la macho?
hebu fikiria hivi
kwani mimba iwe yako au sio yako
ni gharama sana kuilea?
kwa nini usille hadi akijifungua
ukiwa nawasiwasi ukapime DNA...upate jibu....