Msaada.:je hii mimba inaweza kuwa yangu?

Msaada.:je hii mimba inaweza kuwa yangu?

ndisinzowa

Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
86
Reaction score
14
Wana jf,nina gf wangu ambaye alikuwa anakaribia kubleed,yaan akanambia karibu ataingia bleed na dalili za kubleed kaziona,sasa nika du naye bila kinga..saiv ananambia ana mimba..na ninavyojua akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je mimba hii ni yangu au changa la macho?
 
Unaitaka huitaki? Mbona unaulizauliza kama kuna waliokusaidia kushika miguu. Kuna mtu asiyejua chake.....mbona hujiamini kijana?
 
mnapokuwa mnaduu mnafurahia, zao la kuduu kwenu likija mnajifanya hamna uhakika na mimba........hovyo kbs
 
acha umbumbumbu..wahi kamchukulie hati punguzo
 
hebu fikiria hivi
kwani mimba iwe yako au sio yako
ni gharama sana kuilea?
kwa nini usille hadi akijifungua
ukiwa nawasiwasi ukapime DNA...upate jibu....
 
Ana bahati umetangulia wewe kumwambia, mie ningemtandika na bakora kabisa!

Kaka mijitu mngine nijinga kabisa yaani kubwa zima linaendekeza uchafu kisha linakwepa majukumu mmmmmpyuuu!!
 
Aiseee baba yangu ungekuwa karibu yangu ningekumwagia uji wa moto usoni nyinyi ndio mnawapachika mimba wanawake then mnakana nyambafuuuuuuu

ngoja nipige funda la mbege
 
Back
Top Bottom