MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

Sankinga

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
6
Reaction score
9
Habarini wakuu!

Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
IMG_20240315_031253.jpg
 
Dah mzee nilikuwa nakula daku umenitoa kwenye mood kabisa.

Ngoja waje.
 
Back
Top Bottom