Msaada: Je huu ni ugonjwa gani?

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja katika mahusiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa nahisi maumivu makali ila baada ya siku mbili yakaisha.

Sasa jumapili tumesex tena ile hali imejirudia tena na sasa hivi sehemu yangu ya siri inatoa usaha.

Je ni tatizo gani hili?
 
Nahic huo ni ugonjwa wa zinaa wahi hospital mkuu
Kwasababu nimejaribu kusoma naona kama kisono ila toka siku hiyo na mwili wangu ulibadilika sana itanibidi kesho nipime magonjwa yote
 
Stareh tunazipenda ila mwisho wake mbaya
Wengi wameteketea kwa kuendekeza huo mchezo,hyo ni gonorhea iwah mapema kabla haijakomaa
 
Mkuu ucpende kucheza peku peku kesho wah hospital kabla mambo hayajawa Mabaya zaidi pole sana
 
Kwasababu nimejaribu kusoma naona kama kisono ila toka siku hiyo na mwili wangu ulibadilika sana itanibidi kesho nipime magonjwa yote
Na siku zote magonjwa ya Ngono dalili zake kwa mwanamke kujitokeza huchukua mda marefu huenda hata huyo aliye kuambukiza hajui km ana ugonjwa ila kwa mwanaume dalili hujitokeza ndan ya siku 3 tangu kukutana na mwanamke mwenye ugonjwa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…