Msaada: Je huu ni ugonjwa gani?

Msaada: Je huu ni ugonjwa gani?

Una umri gani kwanza kwani naona maswali yako hata Mwanangu GENTAMYCINE jr hawezi kuuliza kutokana na kwamba ni ya Kipuuzi mno.
Ww unaniambia aje mm nakufa utakufa ww uniache
 
Kumbe tatizo ni Kufa Mkuu? Yaani Wewe ni Simbilizi wa kutukuka kweli ukubwa na ujanja wote huo kumbe unaogopa Kufa?
Naogopa sana ndiyo maana paka leo sijawai kufanya jaribio la kujiuwa.lolote akuna nachokipenda hapa duniani kama uhai naupenda sana
 
Broo achana na wasichana wa mtaani masikini watakuambukiza magonjwa mengi sana. Kutibu ugonjwa wa fangasi yenyewe ni laki na ushee then wanawake wanaogongwa kwa chips au buku tano wanaweza wapi
 
Mwambie mwende wote alafu msipende tuschana tudogo
Kwanza ni vichafu pili hatukataagi
Halafu ukitoka hospitals kaite ukacharaze makofi.
 
Tena husiende mwenyewe muende naye kwa hospital (Au msubir Mzazi wako aje akuagize uende hospital India)...magonjwa kama Kaswende na gono kwa wanawake yaweza jificha kwa mda..ila yako yaweza ikawa ni gono..make imeonesha dalili mapema sana..pole sana...ila Hingera kwa kuwa na mpenzi mmoja..Make,ni wito mkuu
 
Unaitwa Kisonono ama gono. Fanya haraka hospitali, unaharibu njia ya uzazi. Ila unatibika kirahisi
 
Nimekuwa na mausiano na biti mmoja katika mausiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa naisi maumivu makali ila baada ya siku mbili yakaisha sasa jumapili tumesex tena ile hali imejirudia tena na sasa hiv sehemu yangu ya siri inatoa usaha
Nenda hospital mkuu, ila cha msingi mjulishe na mwenzio kama anaumwa gono, kwan kwa wanawake huchukua muda mrefu kutambua kama Ana ugonjwa huo, ila kwa mwanaume ni siku tatu tu dalili zinaanza kuonekana mjulishe na yy aende akapime
 
yaani na matangazo yote haya unafanya
mapenz pekupeku?..nakushauri pima na HIV...maaana ushajiexpose kwenye risk
 
Back
Top Bottom