Kama ulitumia CONDOM huwez pata hiyo migonjwa n ulitumia hukutumia kwa usahihi acha jeuri wahi hospitali au subiri mashine iyeyuke taratibuUlishanishuhudia nikitumia.kondomu
Naogopa sana ndiyo maana paka leo sijawai kufanya jaribio la kujiuwa.lolote akuna nachokipenda hapa duniani kama uhai naupenda sanaKumbe tatizo ni Kufa Mkuu? Yaani Wewe ni Simbilizi wa kutukuka kweli ukubwa na ujanja wote huo kumbe unaogopa Kufa?
Haina utamuIv bado mnaendaga kavukavu tu
Yes...ugonjwa wa kupenda husipopendwa...Kwani kuna ugonjwa ukiugua ufi
Nenda hospital mkuu, ila cha msingi mjulishe na mwenzio kama anaumwa gono, kwan kwa wanawake huchukua muda mrefu kutambua kama Ana ugonjwa huo, ila kwa mwanaume ni siku tatu tu dalili zinaanza kuonekana mjulishe na yy aende akapimeNimekuwa na mausiano na biti mmoja katika mausiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa naisi maumivu makali ila baada ya siku mbili yakaisha sasa jumapili tumesex tena ile hali imejirudia tena na sasa hiv sehemu yangu ya siri inatoa usaha
Daah hata mi nimeshangaa,dunia ya leo kupiga peku peku!!!Bro UNAEND KAVU SIKUHIZI duh
Mbona umeanza ngono mapema sana?? Ulimuamini vipi huyo dem mpaka siku ya kwanza tu ukamparamia kavukavu bila kondomu??!!Namiaka 13