Kesho asubuhi itabidi nielekee hospital
Nipo sasa hiv hospitali mwenyeweUende hospital lakini usimsahau mtu wako either muende wote au umshauri nae aende kwa sababu siku nyingine utajisahau utahitaji kumduu tena hapo ndo itakuwa mbaya zaidi. Wote mtibiwe mpone muendelee kucheza vizuri.
Hiyo ni Gonnorhoea, hutakufa ila itibu halafu utafute pengine pa kuchezea. Ningeshauri condom kwa vile siyo kila kitu kina tiba.Mhhhhhh kwaiyo ili lazima nife tu ata nikienda hospitali