kuna wengine dalili huwa zinachelewalakini ni wiki ya tatu sasa anamabadiliko yoyote yanayoneaha kama ana mimba mkuu dalili ata moja hana
Hivi vpmo always kwa male huonyesha positive.... Vinaonyesha matokeo ya kweli kwa femaleUsiamini hivyo vipimo sana.kuna mshkaji alimpima demu wake ikachora vimstari kwamba ana mimba.jamaa akanunua kingine akajipima yeye ikaleta vimstari hivyo kwamba ana mimba!cha kukushauri nunua kipimo kingine ujipime na wewe ndio utapata picha halisi
Au nipate kipomo cha hospitari auUsiamini hivyo vipimo sana.kuna mshkaji alimpima demu wake ikachora vimstari kwamba ana mimba.jamaa akanunua kingine akajipima yeye ikaleta vimstari hivyo kwamba ana mimba!cha kukushauri nunua kipimo kingine ujipime na wewe ndio utapata picha halisi
Hilo ndilo swali la msingi!!!yakwako lakn..
Kwani mkuu unataka kubishana na kipimo?lakini ni wiki ya tatu sasa anamabadiliko yoyote yanayoneaha kama ana mimba mkuu dalili ata moja hana
Sasa kwa nini mkapima?lakini ni wiki ya tatu sasa anamabadiliko yoyote yanayoneaha kama ana mimba mkuu dalili ata moja hana
Week ya nne ndio vimbwanga vina anza sio kitu ya kungoja saaaaaaana kuwa mpole tulakini ni wiki ya tatu sasa anamabadiliko yoyote yanayoneaha kama ana mimba mkuu dalili ata moja hana