Msaada: Je, mke wangu ana mimba?

Msaada: Je, mke wangu ana mimba?

mistari miwili inaonekana vizuri. mimba tayari
tukupe hongera au pole?
natumai hiyo glass mtaitupa na huo mkojo hamtaitumia tena. na chini hapo palipomwagikia mkojo mtapasafisha
mkeo apendelee kunywa maji mengi la sivyo UTI haitamwacha salama
 
ongera kama kweli ni wewe uliyesababisha maana siku hiz wasaidizi ni wengi mno
 
Usiamini hivyo vipimo sana.kuna mshkaji alimpima demu wake ikachora vimstari kwamba ana mimba.jamaa akanunua kingine akajipima yeye ikaleta vimstari hivyo kwamba ana mimba!cha kukushauri nunua kipimo kingine ujipime na wewe ndio utapata picha halisi
 
Hivi vpmo always kwa male huonyesha positive.... Vinaonyesha matokeo ya kweli kwa female
 
Usiamini hivyo vipimo sana.kuna mshkaji alimpima demu wake ikachora vimstari kwamba ana mimba.jamaa akanunua kingine akajipima yeye ikaleta vimstari hivyo kwamba ana mimba!cha kukushauri nunua kipimo kingine ujipime na wewe ndio utapata picha halisi
Au nipate kipomo cha hospitari au
 
Back
Top Bottom