Msaada: Je Mwanamke akiwa mjamzito ninaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka akiwa na miezi mingapi ya ujauzito?

Msaada: Je Mwanamke akiwa mjamzito ninaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka akiwa na miezi mingapi ya ujauzito?

baba love afo

Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.
 
Back
Top Bottom