At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Uh Mimi sina uzoefu na Desktop.Nunua pentium gen ya 4 max 180k, nunua processor ya i7 max 80k gen ya 4, toa pentium weka i7 unapata machine ya i7 kwa around hio budget yako.
Kila mwaka ama miaka miwili zinatoka processor mpya Za desktop toka kwa Amd ama Intel, hizi processor zipo za bei rahisi hadi ghali. Kwa intel zinakuwa hivi.Uh Mimi sina uzoefu na Desktop.
Nimejaribu kufuatilia kidogo. Bado sijapata kwa hakika Pentium ikoje.
Samahani naweza patiwa lugha rahisi.
Shukran sana mkuu nimekuelewa.Kila mwaka ama miaka miwili zinatoka processor mpya Za desktop toka kwa Amd ama Intel, hizi processor zipo za bei rahisi hadi ghali. Kwa intel zinakuwa hivi.
-ndogo kabisa inaitwa Celeron
-inafuatia pentium
-kisha core i3
-Halafu core i5
-halafu core i7
-kubwa kabisa core i9.
Hivyo kwa desktop makampuni kama dell ama HP wananunua hizo processor na kutengeneza Desktop. Wakiweka celeron ama pentium desktop zinauzwa bei rahisi na wakiweka i5 ama i7 desktop zinauzwa bei ghali.
Kama una mtu ana processor tu ya i5 ama i7 kwa bei rahisi ndio unanunua Desktop yenye pentium halafu unatoa hio pentium na kuweka i5 ama i7. Inamaana utapata desktop ya i7 kwa bei rahisi.
Alaaa kumbe hii inawezekana?Nunua pentium gen ya 4 max 180k, nunua processor ya i7 max 80k gen ya 4, toa pentium weka i7 unapata machine ya i7 kwa around hio budget yako.
Mkuu hii ya kununua processor kumbe ipogo, kwa dar wapo maduka ya wapi?Nunua pentium gen ya 4 max 180k, nunua processor ya i7 max 80k gen ya 4, toa pentium weka i7 unapata machine ya i7 kwa around hio budget yako.
Kwa hiyo 250k unapata mashine yenye sifa hizo zako, Mimi 2019 nilinunua levono core i3 4th gen kwa 180k, kariakoo pale ila ni mashine tu na power cable tuWakuu kwema.
Kama mada inavyoeleza hapo juu.
Ikiwa kuanzia generation ya 4 itakuwa better.
Naombeni mwongozo.
Hizo processor ni used unanunua, na dekstop pia used. Maduka yapo mengi likoma kuna jengo linaangalizana na kanisa la KKKT kariakoo duka la mbele kaale linalofuatia kuna jamaa anazo i5 na i7 ila nyingi gen ya 1 na ya 2 bei ariund 50k.Mkuu hii ya kununua processor kumbe ipogo, kwa dar wapo maduka ya wapi?
Shukran sana mkuu, ila kabla ya yote si lazima nifanye research kujua kama motherboard ya mashine yangu itasupport hiyo processor? Kwa sasa nina HP Elite desk 705 G3 SFF. Hii ina processor AMD A10 pro 8770 r7 3.5 6th gen. Mapendekezo yangu niipate hiyo ya i7 4th, je pia video graphic itabadilika? Maana now ipo AMD Radeon R7.Hizo processor ni used unanunua, na dekstop pia used. Maduka yapo mengi likoma kuna jengo linaangalizana na kanisa la KKKT kariakoo duka la mbele kaale linalofuatia kuna jamaa anazo i5 na i7 ila nyingi gen ya 1 na ya 2 bei ariund 50k.
Pia Mtaa wa likoma na Agrey angalia benki ya Mkombozi kuna jengo linaangalizana na hio benki ingia ndani Duka la Kona kuna jamaa anaitwa Andrea anazo i7 4th gen kwa 80k.
Unachofanya unatafuta availability ya i7 kwanza ukihakikisha ipo kama hio i7 4th gen then unaenda kununua pentium yake sasa ya 4th gen.
Hii ni Amd ina maana huwezi badili cpu na kuweka intel.Shukran sana mkuu, ila kabla ya yote si lazima nifanye research kujua kama motherboard ya mashine yangu itasupport hiyo processor? Kwa sasa nina HP Elite desk 705 G3 SFF. Hii ina processor AMD A10 pro 8770 r7 3.5 6th gen. Mapendekezo yangu niipate hiyo ya i7 4th, je pia video graphic itabadilika? Maana now ipo AMD Radeon R7.
Nashukuru sana Kwa maelezoHii ni Amd ina maana huwezi badili cpu na kuweka intel.
Lakini Graphics unaweza ku upgrade kama kuna slot extra, unaweza weka lowend graphics kama Nvidia gt 1030 ama gtx 750Ti ama Amd rx 550 bila matatizo.
Shukran mkuu. Kwa mchango wako.Kwa hiyo 250k unapata mashine yenye sifa hizo zako, Mimi 2019 nilinunua levono core i3 4th gen kwa 180k, kariakoo pale ila ni mashine tu na power cable tu