Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
Alafu ninywe?Chemsha tangawizi mdada!
PoleNgoja waje watusaidie, na mie nna matatizo hayo
SawaJaribu kunywa kwani haitokupunguzia kitu kama isipoleta mabadiliko unayotaka
Paka kwenye magotiAlafu ninywe?
Ndiyo maana yake dada...tena ikibidi usitie sukari hata kidogo. Kunywa asubuhi na jioni kila siku. Na imani mungu atakusaidia.Alafu ninywe?
Mm nliambiwa niwe nakunywa juice ya bamia kuna wakati sukari yangu ilikuwa inapanda....sasa imagine unazikata bamia unaziloweka kwny maji mpk asbh halaf unakunywa yale maji yake.Sawa
Ndiyo maana yake dada...tena ikibidi usitie sukari hata kidogo. Kunywa asubuhi na jioni kila siku. Na imani mungu atakusaidia.
Uuuuuuuwiiiii jamn mm[emoji134][emoji134]Mm nliambiwa niwe nakunywa juice ya bamia kuna wakati sukari yangu ilikuwa inapanda....sasa imagine unazikata bamia unaziloweka kwny maji mpk asbh halaf unakunywa yale maji yake.
SaawaNenda hospitali upewe ushauriii soup utakunywa baada ya ushauri
Hiyo ndo dawa yake. Bamia ina saidia kulainisha sehemu zanye joint so ukinywa itakusaidia kwa kiasi flan japo nashauri umuone daktareeeeeMm nliambiwa niwe nakunywa juice ya bamia kuna wakati sukari yangu ilikuwa inapanda....sasa imagine unazikata bamia unaziloweka kwny maji mpk asbh halaf unakunywa yale maji yake.
SawaaHiyo ndo dawa yake. Bamia ina saidia kulainisha sehemu zanye joint so ukinywa itakusaidia kwa kiasi flan japo nashauri umuone daktareeeee
Ndio niliwahiUlishawahi Fanya mazoez ya viungo hapo awali?