KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Una uzito gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawaKajaribishe bamia na supu ya kongoro ni nzuri sana
62Una uzito gani?
Punguza uzito, nadhani ulipaswa uwe na 54.
Tumia ushauri wangu huu huenda ukakusaidia chukuwa bamia 4 kata kikonyo kwa juu kisha kata silesi weka ndani ya maji lita2 funika vizuri acha kwa muda wa masaa 2 baada ya masaa 2 kupita chuja hayo maji uwe unakunywa hayo maji kwa siku nzima uhakikishe umemaliza na kesho asubuhi unapo amka fanya tena dumisha kwa kutumia hiyo dawa siku 7 kisha njoo ulete mrejesho wako usipo pona unitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.Habari zenu wakuu
Naimani hapa wengi mmenizidi umri (shikamoon)
Me ni binti (24)Nina tatizo la kuumwa na viungo kama
Viungo vya mikono
Miguu
Kiuno
Mgongo
Yapata miez kama miez minne sasa
Lkn wiki moja iliyopita naona magoti yameanza kuuma saana na nikichuchumaa ndo yanazidi
nimejaribu kuyachua na kunywa dawa as kupunguza maumivu naona angalau yamepungua bali kuna milio milio tu ya Mara kwa mara kwenye magoti,kiuno na mikono
Ila nimeambiwa na mtu ambaye sio Dr kwamba nile saana bamia na supu ya makongoro
Japo mm na bamia ni babamkwe
Je wakuu kuna ukweli wowote kuhusu hayo mabamia katika kusaidia viungo?
Ahsanten.
Sawa mkuuPunguza uzito, nadhani ulipaswa uwe na 54.
Ahsante sana nitajitahid kufanya hvyMmmmh pole sana dada.., kibaya ulichokifanya ni kunywa dawa za kupunguza maumivu hiyo ni hatari sana. Cha msingi kunywa kwa wingi supu ya makongoro pia tafuna bamia mbichi kila cku asubuhi na jioni vipande si chini ya vitano hali hiyo itakwisha kabisa...,
Am talking from experience
Ahsaaaaaante sanaTumia ushauri wangu huu huenda ukakusaidia chukuwa bamia 4 kata kikonyo kwa juu kisha kata silesi weka ndani ya maji lita2 funika vizuri acha kwa muda wa masaa 2 baada ya masaa 2 kupita chuja hayo maji uwe unakunywa hayo maji kwa siku nzima uhakikishe umemaliza na kesho asubuhi unapo amka fanya tena dumisha kwa kutumia hiyo dawa siku 7 kisha njoo ulete mrejesho wako usipo pona unitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Sawa hata hvyo ni Mara chache saaaana kama mara mbili au tatu kwa mwakaNa acha kula nyama ya mbuz
OkSikuombei ila jaribu ku google "rheumatoid arthritis" huo kama tatizo lako linafanana na hilo.ushauri wangu mwone daktar haraka.kongoro ni nyama nyekundu ni hatari kwa wagonjwa wa viungo