Msaada; Je,Naweza kutumia bamia na supu ya makongoro kama dawa kwa viungo kuacha kulialia

Mmmmh pole sana dada.., kibaya ulichokifanya ni kunywa dawa za kupunguza maumivu hiyo ni hatari sana. Cha msingi kunywa kwa wingi supu ya makongoro pia tafuna bamia mbichi kila cku asubuhi na jioni vipande si chini ya vitano hali hiyo itakwisha kabisa...,

Am talking from experience
 
Tumia ushauri wangu huu huenda ukakusaidia chukuwa bamia 4 kata kikonyo kwa juu kisha kata silesi weka ndani ya maji lita2 funika vizuri acha kwa muda wa masaa 2 baada ya masaa 2 kupita chuja hayo maji uwe unakunywa hayo maji kwa siku nzima uhakikishe umemaliza na kesho asubuhi unapo amka fanya tena dumisha kwa kutumia hiyo dawa siku 7 kisha njoo ulete mrejesho wako usipo pona unitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Ahsante sana nitajitahid kufanya hvy
 
Ahsaaaaaante sana
 
Ikiwa tatizo kuisha kwa ute ktk viungo yaani maungio ni kweli nimewahi mwona mtu ninayemfahamu aliambiwa na Daktari atumie sana makongoro
 
Sikuombei ila jaribu ku google "rheumatoid arthritis" huo kama tatizo lako linafanana na hilo.ushauri wangu mwone daktar haraka.kongoro ni nyama nyekundu ni hatari kwa wagonjwa wa viungo
 
Sikuombei ila jaribu ku google "rheumatoid arthritis" huo kama tatizo lako linafanana na hilo.ushauri wangu mwone daktar haraka.kongoro ni nyama nyekundu ni hatari kwa wagonjwa wa viungo
Ok
ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…