Una hamu tu ya kutapeliwa, hapo ulipo hakuna cement?.Mara kadhaa nimeona tangazo mtandaoni kwamba unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha tajiri Dangonte mtwara kupitia app na kuletewa popote TZ ,mifuko kuanzia 20 kwa bei rafiki ya kiwandani. Je ni kweli au matapeli?
Itakuwa hakuna kiwanda...Una hamu tu ya kutapeliwa, hapo ulipo hakuna cement?.
Bei mlima kama vile imetoka MarekaniUna hamu tu ya kutapeliwa, hapo ulipo hakuna cement?.
Samahani upo mkoa gani?.Bei mlima kama vile imetoka Marekani
Kanda ya ziwa,ShinyangaSamahani upo mkoa gani?.
Mifuko 20?..Utatapeliwa nduguKanda ya ziwa,Shinyanga
Mifuko 20 itoke mtwara ije shinyanga?Kanda ya ziwa,Shinyanga
Unalipia kidogo kwa mujibu wa tangazoYaani uletewe mifuko 20 ya cement kanda ya ziwa bila kulipia usafiri!!?
Itasafirishwa pamoja na ya kuwauzia nyinyi hardware ambao hamjaagizaMifuko 20 itoke mtwara ije shinyanga?
Kweli watu mmechanganyikiwa
Sahihi kabisaHilo tangazo hata mimi nimeliona. Halafu bei 13,500/-
Kuna uwezekano sio official post ya Dangote.Sahihi kabisa
Ndio itakuwa wajanja wa mjiniKuna uwezekano sio official post ya Dangote.