Msaada: Je ni kweli unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha Dangote Mtwara minimum mifuko 20 na kuletewa popote Tanzania?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Mara kadhaa nimeona tangazo mtandaoni kwamba unaweza kuagiza cement kutoka kiwanda cha tajiri Dangonte mtwara kupitia app na kuletewa popote Tanzania ,mifuko kuanzia 20 kwa bei rafiki ya kiwandani. Je ni kweli au matapeli?
 
Tumia mawakala bwanaaa nyie wastaafu mbona mnasumbua sanaa!!?
Na mafuta yalivopanda bei hivi utoe mifuko 20 ya cement mtwara kuja kwenu usukumani kweli!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…