Nenda mahakamani wafungulie trespass into land. Kesi ya kuingia ktk eneo lako bila ruhusa yako. Hii inaangukia katika kesi ya madai hususani sheria ya madhara (tort)Wabobezi naomba msaada. Nina Shamba ambalo namiliki kihalali. Lakini ninashindwa kuliendeleza kwa kuwa Kila siku wafugaji wanachungia ng'ombe humo. Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana sana kwani uharibifu umekuwa ni mkubwa sana.
Nimejitahidi kulalamika Kwa Viongozi kijijini, lakini ni Bure. Pia Polisi nao hawajanisaidia.
Lakini nimeambiwa Kuwa Kuna kuwashtaki kuingia na kufanya jinai ndani ya eneo langu. Naomba msaada
Sawa mkuu, Namshukuru Kwa msaada huu, lakini ng'ombe wanachungaia ndani ya eneo mchana na ikifika jioni wanaelekea makwao.Nenda mahakamani wafungulie trespass into land. Kesi ya kuingia ktk eneo lako bila ruhusa yako. Hii inaangukia katika kesi ya madai hususani sheria ya madhara (tort)
Asante kwa kumpa mwongozo
swala la ushahidi, unaweza kuita watu waone pindi ng'ombe wanavyoingia katika eneo lako au ukarecord video pindi hao ng'ombe watakapokuwa katika shamba lako.Sawa mkuu, Namshukuru Kwa msaada huu, lakini ng'ombe wanachungaia ndani ya eneo mchana na ikifika jioni wanaelekea makwao.
Je, nikifungua hiyo kesi nifanyeje Ili niwe na ushahidi kamili mahakamani? Na je, ni mahakama ya mwanzo au ya wilaya?
kuhusu mahakama wapeleke mahakama ya mwanzo. Ukumbuke kuainisha maombi yako nini unataka mahakama ikufanyie. Mfano fidia, kutoa amri ya kuwataka kuacha mala moja kuingiza mifugo katika eneo lako nk.swala la ushahidi, unaweza kuita watu waone pindi ng'ombe wanavyoingia katika eneo lako au ukarecord video pindi hao ng'ombe watakapokuwa katika shamba lako.
Asante mkuu, nitakupa mrejesho kuanzia wiki ijayo Kwa kila hatua nitakayoichukua.kuhusu mahakama wapeleke mahakama ya mwanzo. Ukumbuke kuainisha maombi yako nini unataka mahakama ikufanyie. Mfano fidia, kutoa amri ya kuwataka kuacha mala moja kuingiza mifugo katika eneo lako nk.
Hiyo kesi siyo Jinai ni Madai mkuuWabobezi naomba msaada. Nina Shamba ambalo namiliki kihalali. Lakini ninashindwa kuliendeleza kwa kuwa Kila siku wafugaji wanachungia ng'ombe humo. Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana sana kwani uharibifu umekuwa ni mkubwa sana.
Nimejitahidi kulalamika Kwa Viongozi kijijini, lakini ni Bure. Pia Polisi nao hawajanisaidia.
Lakini nimeambiwa Kuwa Kuna kuwashtaki kuingia na kufanya jinai ndani ya eneo langu. Naomba msaada
Shamba limepimwa na Lina hati ya umiliki na limewekewa beacons za serikali, yaani ofisi ya ardhi.Panda live fence. Katani au miti ya miiba.
Kama una umiliki wako nenda kwa RPC na Nyaraka zako,baada ya majadiliano,muwombe akupe askari ukawatowe hao wa vamizi!!Shamba limepimwa na Lina hati ya umiliki na limewekewa beacons za serikali, yaani ofisi ya ardhi.
Kama una umiliki wako nenda kwa RPC na Nyaraka zako,baada ya majadiliano,muwombe akupe askari ukawatowe hao wa vamizi!!
Ukweli ni huo kudeal na hawa wafugaji ni ngumu nimeyaona haya, hawa ni jamii ya Kimasai. Kuna wakati niliwahi kwenda report Police kwani lilijengwa zizi ndani ya eneo langu. Nikapewa mpelelezi, Cha ajabu mpelelezi alitaka kujua jina la mfugaji. Mfugaji mwenyewe alikuwa anamfahamu. Hatimae nilizungushwa hakuna kilichoendelea. Ukapita muda hadi mfugaji akaondoka Kwa kupenda kwake.Kudeal na mfugaji hasa wamang'ati kwa njia ya mahakama ni ngumu sana. Hata mahakama ikihukumu ulipwe fidia, ni ngumu sana kuipata toka kwa jamii ya kifugaji. Pole sana hawa jamaa ni wasumbufu sana.
Ukiona unazidiwa, mwaga mboga na wewe. Weka sumu tu au paka asali kwenye majani ng'ombe wale wavimbiwe.
Sasa beacons ndiyo zinazuia ng'ombe na wafugaji kuingia? Piga fence.Shamba limepimwa na Lina hati ya umiliki na limewekewa beacons za serikali, yaani ofisi ya ardhi.
Sawa, mkuu.Sasa beacons ndiyo zinazuia ng'ombe na wafugaji kuingia? Piga fence.
Je, nikimwaga simu au kuweka asali ndani ya eneo langu na ikatokea ng'ombe wakafa je, sitashtakiwa??Kudeal na mfugaji hasa wamang'ati kwa njia ya mahakama ni ngumu sana. Hata mahakama ikihukumu ulipwe fidia, ni ngumu sana kuipata toka kwa jamii ya kifugaji. Pole sana hawa jamaa ni wasumbufu sana.
Ukiona unazidiwa, mwaga mboga na wewe. Weka sumu tu au paka asali kwenye majani ng'ombe wale wavimbiwe.
Lakini wanyama hawana kosa,wwe deal na hao wamasai,ukiweka sumu alafu hiyo sumu inaweza kuja kuzulu watu watakao kula hiyo nyama ambao hawana hatia!!Je, nikimwaga simu au kuweka asali ndani ya eneo langu na ikatokea ng'ombe wakafa je, sitashtakiwa??
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Ni mwaka wa 10 Sasa ni kwamba nimeshindwa! Kwani nimekuwa mtaratibu sana kwao. Hatua ya kwanza nimekuwa nikiwaelimisha Kwa muda mrefu lakini wanajifanya hawaelewi. Pia nimeshafika hadi ofisi ya Kijiji na waliitwa na wakapuuza. Police nilishafika lakini sikupata msaada. Pia katika kuwaelimisha nimekuwa nawaeleza jinsi wanavyonidumaza kiuchumi maana sifanyi maendeleo yoyote wakati Mimi maisha yangu yanategemea Shamba, lakini wao ng'ombe zao zinazidi kuzaliana kwa kutegemea Shamba langu. Sina faida kwani ata shilingi sipati zaidi ya kunidharau tu. InLakini wanyama hawana kosa,wwe deal na hao wamasai,ukiweka sumu alafu hiyo sumu inaweza kuja kuzulu watu watakao kula hiyo nyama ambao hawana hatia!!
Kwa kifupi swala la sumu kwa mifugo isiyokua na hatia mimi sili afiki kabisa! Maana kweli unaweza uwa mifugo kwa sumu,je hivyo vibudu vikiaangukia mikononi mwa wajanja wapenda pesa si wataisambaza kwa jamii,na Jamii kupata madhara!!??Ni mwaka wa 10 Sasa ni kwamba nimeshindwa! Kwani nimekuwa mtaratibu sana kwao. Hatua ya kwanza nimekuwa nikiwaelimisha Kwa muda mrefu lakini wanajifanya hawaelewi. Pia nimeshafika hadi ofisi ya Kijiji na waliitwa na wakapuuza. Police nilishafika lakini sikupata msaada. Pia katika kuwaelimisha nimekuwa nawaeleza jinsi wanavyonidumaza kiuchumi maana sifanyi maendeleo yoyote wakati Mimi maisha yangu yanategemea Shamba, lakini wao ng'ombe zao zinazidi kuzaliana kwa kutegemea Shamba langu. Sina faida kwani ata shilingi sipati zaidi ya kunidharau tu. In
Naona Sasa ifike mwisho kwani sioni faida ya Kuwa na shamba, Ina maana Mali yangu initese mwenyewe, haiwezekani! Wanajifanya watemi kwenye Mali za wenzao. Suluhisho pekee la mwisho ni kuuchukua ushauri wa member aliyetangulia hapo juu wa kumwaga mboga!! Ndio mboga tu ndani ya eneo langu ninalolimiliki kihalali, kwani wao wanamwaga ugali! kwani Kuna wakati nilishawahi kuwataharifu Kwa maandishi kuwa wasichunge ktk eneo langu kwani nataka kulima Kwa kukausha majani Kwa sumu lakini wakapuuza, sijui wanategemea miziziology! Au wanaona nawaogopa! Sasa naona nitafanya kweli. Cha muhimu Bado naangalia kisheria zaidi kama Kuna Sheria' yoyote inayonizuia kufanya lolote ndani ya eneo ninalolimiliki kihalali.
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app