Msaada: Je, ninaweza kuwafungulia kesi ya jinai wafugaji wanaochungia mifugo shambani kwangu?

Msaada: Je, ninaweza kuwafungulia kesi ya jinai wafugaji wanaochungia mifugo shambani kwangu?

Kwa kifupi swala la sumu kwa mifugo isiyokua na hatia mimi sili afiki kabisa! Maana kweli unaweza uwa mifugo kwa sumu,je hivyo vibudu vikiaangukia mikononi mwa wajanja wapenda pesa si wataisambaza kwa jamii,na Jamii kupata madhara!!??
Usemayo ni ya kweli kabisa. Lakini nami nifanyeje Sasa?? Iwapo wahusika hawajali kabisa na Kila nikiwaeleza wanadharau kabisa!!
Hapa nichague kuacha hii action, lakini Mimi na familia yangu inayonitegemea tuendelee kuteseka. Hii naona si sawa kabisa!!
Iwapo nilishawahi kutoa Angalizo la tahadhari in writing ili wasiingize mifugo lakini imekuwa ni Bure.
Ukweli naumia sana, lakini iwapo ili litatokea ndipo watakapojua hakuna Mpumbavu katika Mali yake!
Nilishawaeleza walinunue ilo eneo ili nami nikanunue eneo lingine mbali ya hapo hawataki. Mimi solution iliyopo ni kuhakikisha natumia eneo langu Kwa faida yangu Kwa njia yoyote ile Halali.

Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom