Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Na lazma waache Kama chikwende wanataka acheze mechi za ndani pia
inasemekana kagoma mkataba wake kuvunjwaInasemekana Morrison keshafungashiwa virago baada ya kuonekana anatakiwa kufanyiwa upasuaji na baada ya hapo atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sita
Kifuatacho baada ya mgomo wake?
Ataendelea kuwepo Simba mpaka mkataba wake wa miaka 2 utakapoisha.Kifuatacho baada ya mgomo wake?
Busha fc.Inasemekana Morrison keshafungashiwa virago baada ya kuonekana anatakiwa kufanyiwa upasuaji na baada ya hapo atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sita
Mzee wa IkwiririJamani mwenye ile clip ya Mzee mmoja Wa kizanzibari aliyeongea siku ya kuelekea kilele cha siku ya mwananchi. Moja ya maneno yake alisema " kama kuna mtu anadhani anaweza kuivuruga yanga basi anajidanganya. Na huyo mtu hamtomsikia tenaaa!" Na akasema ametumwa na wazee Wa Zanzibar aje ayaseme hayo.