Msaada: Je, Simba SC watalazimika kuacha mchezaji wa Kigeni?

Msaada: Je, Simba SC watalazimika kuacha mchezaji wa Kigeni?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza?
  1. Wawa
  2. Onyango
  3. Chama
  4. Bwalya
  5. Luis
  6. Kahata
  7. Kagere
  8. Mugalu
  9. Morrison
  10. Lwanga
  11. Chikwende
 
Na lazma waache Kama chikwende wanataka acheze mechi za ndani pia
 
Miqquissone, Chamason, Morrison, Bwalyason, Boccoson[emoji23][emoji23]
 
Inasemekana Morrison keshafungashiwa virago baada ya kuonekana anatakiwa kufanyiwa upasuaji na baada ya hapo atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sita
Na lazma waache Kama chikwende wanataka acheze mechi za ndani pia
 
Kahata ameachwa,atabaki kushiriki Champions League tu. Hivyo Chikwende atakuwepo VPL.
 
Jamani mwenye ile clip ya Mzee mmoja Wa kizanzibari aliyeongea siku ya kuelekea kilele cha siku ya mwananchi. Moja ya maneno yake alisema " kama kuna mtu anadhani anaweza kuivuruga yanga basi anajidanganya. Na huyo mtu hamtomsikia tenaaa!" Na akasema ametumwa na wazee Wa Zanzibar aje ayaseme hayo.
 
Kajamaa kamekuwa kapole zaidi ya punje ya mchanga! Atajua tu kama alikuwa haju
IMG-20210115-WA0041.jpg
 
Jamani mwenye ile clip ya Mzee mmoja Wa kizanzibari aliyeongea siku ya kuelekea kilele cha siku ya mwananchi. Moja ya maneno yake alisema " kama kuna mtu anadhani anaweza kuivuruga yanga basi anajidanganya. Na huyo mtu hamtomsikia tenaaa!" Na akasema ametumwa na wazee Wa Zanzibar aje ayaseme hayo.
Mzee wa Ikwiriri
 
Back
Top Bottom