Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Mkuu jaribu kuwasiliana na LipumbaJe unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please
Mhhh unanikumbusha mambo ya bwana yule.Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please
Sheria ya kuacha kazi haina kipengele cha kutengua maamuzi ya awali ya kuacha kwako kazi.Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please
Itawezekana kama wewe ni Lipumba, kama sio, usijisumbue !!!Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please
Inawezekana tu endapo barua yako iko ndani ya kipindi ulichotoa notice. Na hii ni katika ajira, si nafasi za kuchaguliwa kwa kura. Notice ziko za aina mbili. Ya masaa 24 au siku 28. Yawezekana ukawa umetoa notice ya masaa 24. Lakini yanapopita masaa 20 toka utoe notice kwa muajiri wako na ukaamuwa kutengua, hiyo inaruhusiwa. Au umetoa notice ya siku 28, baada ya siku 27 machale yakakucheza, inaruhusiwa kutengua. Tena si kwa kuandika barua nyingine. Utaratibu ni unaenda kwa ofisa muajiri au bosi wako na kumuomba akurudishie ile barua. Hapo utaendelea kuwa mfanyakazi halali kabisa. Hata kama imebaki masaa machache na ukaamuwa kuchukua barua yako, utaendelea kuwa mfanyakazi halali. Ila ukitimia muda uliotoa notice............wewe si mfanyakazi tena, ni wakutuma maombi upya na utafanyiwa interview kama hawakujui vile. Anyway, ndivyo sheria zinavyoelekeza. Ila tukija kwa issue ya Prof (issue ambayo wengi wanashehereshea huu uzi) sidhani kama kuna mlinganyo wowote na nilichoelezea hapo juu.Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please