MSAADA: Je, Wamiliki wa Maduka ya Jumla wananunua wapi bidhaa zao?

MSAADA: Je, Wamiliki wa Maduka ya Jumla wananunua wapi bidhaa zao?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Nahitaji kufungua duka la bidhaa na kuuza kwa bei ya jumla, Je, naweza kupata wapi wanakouza bidhaa wanakonunua wengine?

1618295436326.png
 
Asee, kwahiyo umeona utoe Definition ?
Anza kwanza na wanakochukua wa kawaida kama kariakoo nk,as you go utagundua machimbo mengine amabyo utapata so cheaper na hizo information utazipata huko huko kwa hao wafanya biashara ulioanza nao,juu juu tu mtu hawezi kukupa information zote mapema hivo, au unaweza tapeliwa pia ingawa hujasema biashara ya jumla ya bidhaa gani
 
anza kwanza na wanakochukua wa kawaida kama kariakoo nk,as you go utagundua machimbo mengine amabyo utapata so cheaper na hizo information utazipata huko huko kwa hao wafanya biashara ulioanza nao,juu juu tu mtu hawezi kukupa information zote mapema hivo,au unaweza tapeliwa pia ingawa hujasema biashara ya jumla ya bidhaa gani
Shukhrani sana mkuu
 
Mkuu hujasema unataka kununua bidhaa za namna gani. Ndo maana watu humu hawajakuchukulia serious! wanakujibu kwa utani utani.....Kwa sababu mtu aliye serious hawezi kuuliza swali kama ulilouliza.

Mfano anayetaka kununua bidhaa za jumla kama nguo ni tofauti na atakayetaka kununua bidhaa za chakula kama unga mchele nk....
 
Ukitaka whitedent,mafuta ya kupaka,bidhaa za plastick nenda kiwandani chemi cotex Africans then onana na afisa masoko atakupa mchongo mzima.Ngano nenda kiwanda cha azam au nyati,hivyo ukienda watakueleza kwa mapana ili uone kama utaweza au uende kwa supplier.

Kiuzoefu agent hawezi kukuelekeza anakochukua bidhaa hats siku,halafu siku hizi mambo mepesi ukinunua konyagi wanaweka hadi namba zao kwenye box.VP mtaji wa maana unao?Kama VP unaweza kubobea kwenye bidhaa moja huku ukikua taratibu.
 
Ukitaka whitedent,mafuta ya kupaka,bidhaa za plastick nenda kiwandani chemi cotex Africans then onana na afisa masoko atakupa mchongo mzima.Ngano nenda kiwanda cha azam au nyati,hivyo ukienda watakueleza kwa mapana ili uone kama utawezaau uende kwa supplier.Kiuzoefu agent hawezi kukuelekeza anakochukua bidhaa hats siku,halafu siku hizi mambo mepesi ukinunua konyagi wanaweka hadi namba zao kwenye box.VP mtaji wa maana unao?Kama VP unaweza kubobea kwenye bidhaa moja huku ukikua taratibu
Supplier ana tofauti gani na kununua viwandani na Je, wasio na viwanda hapa mfano wauzaji wa kalamu za OBAMA/NATARAJ au bidhaa za RUNGU wanawafikiaje wauzaji wa UMLA ??
 
Supplier ana tofauti gani na kununua viwandani na Je, wasio na viwanda hapa mfano wauzaji wa kalamu za OBAMA/NATARAJ au bidhaa za RUNGU wanawafikiaje wauzaji wa UMLA ??
We unazingua!!s kila bidhaa zinazalishwa hapa Tanzania hivyo maagent hawaepukiki.By the way mtaji wako no ngapi?ili watu wakushauri vizuri maana unauliza swali huku jibu unalijua.
 
Back
Top Bottom