Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla
Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.
Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...
Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.
Then unakwenda kwawateja wako unaowalenga kabla yakufungua unakwenda kujitangaza nakuwaachia namba zako za office yako.
Unatakiwa uwe namtaji wakutosha Kama unataka kufungua Duka la jumla ili uweze kulikamatwa soko
Wateja wakiona unanguvu yakazi ndio wanakuamini kufanya biashara na wewe
Akikisha unawaachia list za bidhaa zako ulizokua nazo pamoja na bei utaona watanza kuja kukuungisha hadi watakua wateja wako wakudumu
ONYO: KUWA MAKINI NA KUKOPESHA KUNAWEZA KUKAKUFANYA USHINDWEE.