saidhafidh Senior Member Joined Apr 10, 2013 Posts 119 Reaction score 8 Feb 27, 2014 #1 Wana jamii wenzangu naomba nisaidiwe maana nkila application ambayo nai downlod kwenye sim yangu nikiifungua naambiwa niweke Zip Code jee hii Zip code ni kitu gani naomba msaada wenu.
Wana jamii wenzangu naomba nisaidiwe maana nkila application ambayo nai downlod kwenye sim yangu nikiifungua naambiwa niweke Zip Code jee hii Zip code ni kitu gani naomba msaada wenu.
B baracky Member Joined Mar 3, 2013 Posts 63 Reaction score 17 Feb 27, 2014 #2 Zip ni cod za nchii kijana andika google tanzania zip code utaziona google ndio kila kitu kijana