Msaada: Jee Zip Code ni kitu gani?

Msaada: Jee Zip Code ni kitu gani?

saidhafidh

Senior Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
119
Reaction score
8
Wana jamii wenzangu naomba nisaidiwe maana nkila application ambayo nai downlod kwenye sim yangu nikiifungua naambiwa niweke Zip Code jee hii Zip code ni kitu gani naomba msaada wenu.
 
Zip ni cod za nchii kijana andika google tanzania zip code utaziona google ndio kila kitu kijana
 
Back
Top Bottom