T Tchage95 Member Joined Jun 25, 2016 Posts 11 Reaction score 3 Oct 1, 2016 #1 Mke wangu alikwamwa na kitu kama vipande vya chakula wakati akicheua... Hii ilitokea usiku alipokua akiamka kwenda kujisaidia, so anasema anahisi maumivu anapomeza maji... Nini tiba yake? Naomba msaada wako
Mke wangu alikwamwa na kitu kama vipande vya chakula wakati akicheua... Hii ilitokea usiku alipokua akiamka kwenda kujisaidia, so anasema anahisi maumivu anapomeza maji... Nini tiba yake? Naomba msaada wako
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Oct 1, 2016 #2 Vimeingia kwnye koo la hewa na sababu mkeo kajizuia kucheua badala ya kujiachia,alale kifudi fudi litapona lenyewe tatzo
Vimeingia kwnye koo la hewa na sababu mkeo kajizuia kucheua badala ya kujiachia,alale kifudi fudi litapona lenyewe tatzo
T Tchage95 Member Joined Jun 25, 2016 Posts 11 Reaction score 3 Oct 1, 2016 Thread starter #3 Nashukuru sana