Msaada jf Doctor

Msaada jf Doctor

Tchage95

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Mke wangu alikwamwa na kitu kama vipande vya chakula wakati akicheua... Hii ilitokea usiku alipokua akiamka kwenda kujisaidia, so anasema anahisi maumivu anapomeza maji... Nini tiba yake? Naomba msaada wako
 
Vimeingia kwnye koo la hewa na sababu mkeo kajizuia kucheua badala ya kujiachia,alale kifudi fudi litapona lenyewe tatzo
 
Back
Top Bottom