Msaada JF..napata shida kumeza chakula

Msaada JF..napata shida kumeza chakula

kbo

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Miezi kadhaa sasa imepita..napata maumivu makali sana mgongoni na chini ya kifua hasa nikiwa nakula..nahisi chakula kama kinatonesha kidonda...nimezunguka hospital nimefanyiwa kipimo endoscope..majibu nina reflux esophagitis nimejaribu dawa za hospital bila mafanikio mwezi wa saba huu..msaada wenye kujua tiba
 
Back
Top Bottom