Natanguliza shukrani wana Jf...ninatatizo ambalo wengi wamekua wakilijumuisha kama vidonda vya tumbo...dalili ni kujisikia kichefuchefu..kiungulia..maumivu nyuma ya mgongo..mwaka jana nilipima kipimo cha endoscope nikawa sina tatizo kwenye mfuko wa chakula wa utumbo..ila tatizo ni acid imechoma kwenye ungio kati ya mrija wa chakula na tumbo inayopelekea maumivu chini ya kifua mpaka mgongoni..msaada