Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu, tuombeane heri, ikifika siku nahitaji wadau wa kusukuma gurudumu pamoja nitakuja hapa -Jamii Forum ndiyo nyumbani.Mwaka mzuri ENERGY SERVICES and EDUCATION CONSULTANT......haya mkuu cjui imekaa sawa?!, na ukiwa unatafuta employees make sure unakuja huku. Mi ntakuwepo pia