Msaada:jino kuvimba

Msaada:jino kuvimba

Davet

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
42,445
Reaction score
205,933
habari wakuu,
naomba kujuzwa ,je jino lililovimba linaweza kutolewa hivyohivyo au mpaka uvimbe upotee kabisa ndio linaweza kutolewa ?
Natanguliza shukrani.
 
Hapo kinachovimba ni ufizi na sio jino,kama hali kama hiyo ikikutokea unapaswa kwenda kwa mtaalam wa meno,kuna vidonge vya kupunguza uvimbe utatumia baada ya uvimbe kupotea ndio wataangalia ni tiba gani upatiwe!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom