Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna program mbalimbali unazoweza kudownload and zikatengeneza barcode kulingana na mahitaji yako
unatumia sim aina gani? is it a smart phone?
Hivi umemuelewa au umekurupuka kuja kujibu?kuna program mbalimbali unazoweza kudownload and zikatengeneza barcode kulingana na mahitaji yako
unatumia sim aina gani? is it a smart phone?
kuna program mbalimbali unazoweza kudownload and zikatengeneza barcode kulingana na mahitaji yako
unatumia sim aina gani? is it a smart phone?
Wadau wa jukwaa hl poleni kwa majukumu.
mwenye kufahamu ni wapi au jinsi gani barcode kwa ajili ya product (e.g vyakula vya kusindika kwenye makopo e.t.c ) inaweza kupatikana naomba anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jukwaa.
Hivi umemuelewa au umekurupuka kuja kujibu?
na mie nahitaji hii barcode asanteni kwa useful info
Hivi umemuelewa au umekurupuka kuja kujibu?
Mkubwa mbona unachanganya madawa? Mdau anaulizia barcode za kuuzia bidhaa international wala si zile barcode za Blackberry and the like.
nahisi hajamuelewa mtoa mada kakurupuka kujibu
badala ya kumwambia aende GSI msasani pale
tirdo awaone wale ndo watoa hzo barcode
yeye kajikanyaga kumshauri mwenzake
Sikia kama umejua leo sisi tangu kitambo hizo unazozisema nizakusomea product...lakini yeye anataka kupata ownership bar-code!Duh wadau yaani jamaa kajitahidi kutoa msaada nyie mnasema amekurupuka.., namna hii wengine tutakuwa waoga kutoa misaada kwa watu.
Anyway kwani hio kampuni ndio pekee inatoa barcodes ?, Ni kama mdau alivyosema kuna software online ambazo mtu unaweza kujitengenezea barcodes..., Na kwa mujibu wa maelezo yake unaweza kuipata kwenye apps from your smartphone
Hayo mambo ya ownership umeyatoa wapi ? Ngoja ninukuu alichokisema...Sikia kama umejua leo sisi tangu kitambo hizo unazozisema nizakusomea product...lakini yeye anataka kupata ownership bar-code!