Ni kweli kabisa, imenichukuwa muda kuangalia sehemu gani nianzishe hii thread. Inabidi tumwombe invisible aliangalie hili jambo.hee na mie nasubiria nione hizo recipes...
nadhani wale akina bitimkongwe watakuwa wanajua haya!
lingeazishwa jukwaa la mapishi humu jamii forums,tuwe tunapeana maujuzi eti eeh?
Ninayotaka ni tofauti.Msaada wa kutengeneza kaimati unaweza kuingia kwenye hii link: http://www.zanzinet.org/recipes/deserts/kaimati.htmlnadhani huyu anahitaji kujua jinsi ya kutengeneza kaimati au kalimati kama sikosei. mwenye kufahamu jinsi ya kuzitengeneza hizi plz atuwekee
Asante kwa msaada wako.Ninatafuta hayo kwenye nyekundu...Nimejaribu ku-google websites nyingi wameweka hayo ya baking powder lakini ya hamira nimeshindwa kupata kabisa.Ninataka ndani yawe malaini kabisababu M nimeshindwa kujua kama haya yako ni maandazi ya mafuta ( au wengine wanaita maandazi ya kuchoma) au ni kaimati au ni badia (badja) au vikhosa ( au wengine wanaita vilosa)
kaimati na vilosa vinapikwa ikisha vinamwagiwa shira kwa juu ( yaani ukivitumbua vinatoka sukari kwa ndani)
badia zinatengenezwa kwa unga wa dengu (nitaweza kukupa recipe kama ukitaka)
kwa kuwa umeyaita maandazi nafikiri itakuwa ni hayo ya kuchoma
haya yako ya aina mbili .......
watu wa bara wengi wanafanya yanakuwa magumu hivi kwa mfano wa kama half cake hivi (hard na ndani iko kavu) ambayo yanatiwa baking powder na sio hamira
watu wa pwani wao wanafanya yanakuwa malaini ( ukiyabonyeza yanabonyea hadi ndani) na yanatiwa hamira na sio baing powder.
Ukishaamua unapenda yepi kati ya hayo tunaweza kukupatia recipe .......
hee na mie nasubiria nione hizo recipes...
nadhani wale akina bitimkongwe watakuwa wanajua haya!
lingeazishwa jukwaa la mapishi humu jamii forums,tuwe tunapeana maujuzi eti eeh?
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mandazi ya kumimina(sina uhakika na jina)
Huku nilipo sasa hivi vitafunio ni Toast,bacon,sausage and baked beans(english breakfast), hii imenishinda na Mcdonalds b'fast zao zimenitoka sasa hivi.
Ni unga gani ninatakiwa nitumie, self raising or plain? na jinsi ya kuchanganya.
Nilishapita huko lakini sikuona kitu.hiyo link uliyopewa Maandazi | Alhidaaya.com ndio inaonyesha maandazi hayo ya kubonyea mpaka ndani .......kama wenye recipe zake ilivyoandikwa unatia hamira na sie baking powder.
nadhani ukifata maelezo kwenye hiyo link utafanikiwa......( picha zake pia ziko clear step by step utafika tu)
Don't you think it's rude to place your ad to someone else thread?Hie all JF?
My friend is in need of a house or an apartment for rent
Descriptions:-
With master and two other bedrooms excluding kitchen facility and public latrine
At least one car parking space and fence preferred
must be at standard area,not too rural oriented,easily reachable with source of water and sewage disposal system.
Locations:
Cinza,mwenge,magomeni,along kawawa road,near places of mbezi(hates heavy traffic) and similar places(near the city)
Price- up to Tsh 300,000 x12
When required at anytime before 28/8/2010
Any person with information, please let me know but I don't prefer "dalali"
pm
My kind regards in advance
N:B I COULD NOT POST AS FRESH THREAD AS PEOPLE ARE BUSY COOKING
Ninayo tafuta hayako coated na sugar or syrup outside, yapo kama hayo maandazi yenye umbo la pembe tatu ama nne lakini niya mviringo na malani zaidi.Miye miaka ya nyuma nimeshaomba sana jukwaa la mapishi hapa bila mafanikio. Babu M hizo naona kama ni kalimati na si maandazi.