Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

Enter Passcode

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2024
Posts
479
Reaction score
942
Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo

Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine

Naombeni picha au wazo nmpe fundi

Natanguliza shukurani
 
Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine
1731048134542.png

=
1731048152639.png

=
1731048196635.png
 
Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine

Naombeni picha au wazo nmpe fundi
- Weka wazo lako, unataka baiskeli iwe vipi, weka maelezo mengi, kisha nitatumia AI kukuletea picha, Utachagua picha mojawapo, na kuifanyia kazi, Wapo mafundi wengi mtaa wanaweza kukutengenezea fremu na ukawa na baiskeli yako ya kazi. Angali picha nilizoweka hapo juu.
 
Nataka baiskeli yenye magurudumu mawili, iwe na uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, matunda yote kwa ujumla, viazi vitamu, mihogo na magimbi, Mbogamboga

Pia iwe na sehemu ya kuweka uchafu.

Asante sana mkuu Mwl. RCT:
 
Back
Top Bottom