Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari zenu wataalam
Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee.
Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji".
Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee.
Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia search Engine ya GOOGLE.
Sijui nimeeleweka?