Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wataalam

Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee.

Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji".
Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee.

Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia search Engine ya GOOGLE.

Sijui nimeeleweka?
 
Eleza tena

😂🤣😂😂
 
Habari zenu wataalam

Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...
Huwezi kuforce kusearch website mmoja pekee isipokuwa utaipa website priority. Mfano unasearch "colonialism" then unaweza kuipa Wikipedia priority kwa kuijumuisha website kwenye search entry mfano "colonialism wikipedia".

Sio kila unachosearch mtandaoni kitakuja vile unavyotaka, it's search engine, still not human 😡 - By Me.
 
Habari zenu wataalam

Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...

Huwezi kuforce kusearch website mmoja pekee isipokuwa utaipa website priority. Mfano unasearch "colonialism" then unaweza kuipa Wikipedia priority kwa kuijumuisha website kwenye search entry mfano "colonialism wikipedia".

Inawezekana mfano: " cybergates site:jamiiforums.com " hii string uki ipest google, cybergates itakua searched na results zitatoka kwenye tovuti ya jamiiforums.com pekeyake

Screenshot_20220911-134210_Samsung Internet.jpg
 
Inawezekana mfano: " cybergates site:jamiiforums.com " hii string uki ipest google, cybergates itakua searched na results zitatoka kwenye tovuti ya jamiiforums.com pekeyake...
Ok. Kwenye Bing unaweza tumia hiyo filter lakini mda mwingine bado inawezakupa vitu vya ziada.
 
Habari zenu wataalam

Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...
Yaani wewe hutaki kama hivi?sasa mbona utafanya maisha yawe magumu sana mkuu? Maana kuna wakati utakosea spelling ikija list ya vitu husika utakuwa na uhuru wa kuchagua, labda kama sijakuelewa!

Screenshot_2022-09-11-14-21-11-138_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Back
Top Bottom