Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari zenu wataalamEleza tena
Huwezi kuforce kusearch website mmoja pekee isipokuwa utaipa website priority. Mfano unasearch "colonialism" then unaweza kuipa Wikipedia priority kwa kuijumuisha website kwenye search entry mfano "colonialism wikipedia".Habari zenu wataalam
Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...
Sio kila unachosearch mtandaoni kitakuja vile unavyotaka, it's search engine, still not human π‘ - By Me.
Habari zenu wataalam
Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...
Huwezi kuforce kusearch website mmoja pekee isipokuwa utaipa website priority. Mfano unasearch "colonialism" then unaweza kuipa Wikipedia priority kwa kuijumuisha website kwenye search entry mfano "colonialism wikipedia".
Inawezekana mfano: " cybergates site:jamiiforums.com " hii string uki ipest google, cybergates itakua searched na results zitatoka kwenye tovuti ya jamiiforums.com pekeyake
View attachment 2353512
Ok. Kwenye Bing unaweza tumia hiyo filter lakini mda mwingine bado inawezakupa vitu vya ziada.Inawezekana mfano: " cybergates site:jamiiforums.com " hii string uki ipest google, cybergates itakua searched na results zitatoka kwenye tovuti ya jamiiforums.com pekeyake...
Yaani wewe hutaki kama hivi?sasa mbona utafanya maisha yawe magumu sana mkuu? Maana kuna wakati utakosea spelling ikija list ya vitu husika utakuwa na uhuru wa kuchagua, labda kama sijakuelewa!Habari zenu wataalam
Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee...