Msaada: Jinsi ya ku-update Android 10 to Android 11/12 kwenye Oppo A9 2020

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nawasilisha.
 
Wajuvi natumia oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya kuapdate android kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawasilisha
Nenda SETTINGS ---> SOFTWARE UPDATES. Yenyewe itasearch alafu itakuambia kama kuna updates au hamna ,

Kama zipo utapata muongozo tu.kama hamna utaambiwa asante kwa kushiriki simu yako ipo update

Ila ingekuwwpo update wangekupa notification. So far naona bado haijatoka for you phone. Nimesoma gizmochina naona watu wa Oppo A9 2020 wanatokwa mapovu tu

Just simple.
 
Duh pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom