Nina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri
Ofisi yangu inapatikana karibu na nyumbani kwao, ila kinachonishangaza, huwa haji kama Girlfriend wangu, anakuja kama mteja. Akifika na nikamuongelesha kama Boyfriend ila haoneshi kukubaliana na ninachomuongelesha. Haniangalii, anaangalia pembeni..
Nikimwambia mambo ya msingi na yenye kustawisha mahusiano yetu anajibu kwa mkato, mfano "Sawa" "Nimekuelewa" "Aya". Kwa mfano nikitishia kuachana nae, anajibu "Sawa kama umeamua". Mambo ni mengi..
Sasa me nahtaji nisimuabudu. Nimeshaharibu kumkalia kimya nimeshndwa. Nimejarbu kuAct kigumu ila kuna muda nalegea tena. Nahisi hana upendo wa dhati kwangu, NIFANYE NINI??