Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Mkuu achana na demu wa watu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada shika hii.Hataki watu wajue kama mko pamoja 😜😅huenda anakula Pesa zako tu.
Tena manzi wa kileo 🤣🤣Utoto ukikua utaacha, unamtishia demu kuachana ulitegemea amwage chozi?
Atleast hata wewe mkuu, umenieleza. Nimeleta topic ili nipate ushauri, sio kupondwa. Hata kama nimekosea natakiwa kuelezwa kwenye namna ambayo inasaidia kwasababu hii ni ishu ya kihisia. Kwa mtu mwenye uelewa ataona kabsa hapo ni namna gan hisia zimeizidi akili. So, nishauriwe namna ya kupambana na hizo hisia maana akili yangu naona kama imezidiwa.Uko emotional sana, hii hali ukiendelea nayo utakua chanzo cha kuvunia Kila mahusiano mapya utakayo yaanzisha kwa maana Kila unapotoa ule mrejesho unaopewa kutoka upande wa pili unahisi hauko kwenye uzani sawa kwa maana ya kwamba unachopewa hauridhiki nacho.
Hii ni character moja wapo ya masimp kwa maana kwa jinsi hali ilivyo ukoradhi kufanya lolote ili uweze kuprove upendo wako kwake, which is wrong.
Mpenzi wako hajivunii kuwa na wewe, na possibility ni mbili ni either kawaweka kwenye mzani wewe na mtu mwingine wa jirani na hapo au yupo na wewe kwasababu kuna kitu anafaidika nacho.
Umeeleweka vizuri mkuu, shida yako wewe ni hisia zimekuzidia kiasi cha kushindwa kujicontrol, hiyo ni mbaya hasa kama Binti atalijua hilo anaweza kutumia kama siraha ili akuangamize.Atleast hata wewe mkuu, umenieleza. Nimeleta topic ili nipate ushauri, sio kupondwa. Hata kama nimekosea natakiwa kuelezwa kwenye namna ambayo inasaidia kwasababu hii ni ishu ya kihisia. Kwa mtu mwenye uelewa ataona kabsa hapo ni namna gan hisia zimeizidi akili. So, nishauriwe namna ya kupambana na hizo hisia maana akili yangu naona kama imezidiwa.
Sio kila mtu ataanza kuwa expert kwenye mambo fulani, huwa anaanza kuteswa kwanza then anajifunza siku had siku. Maybe mimi ndo nina tatizo, nielezwe kwa namna inayofaa. Pia nielekezwe ili nisirudie makosa yatakayofanya nimuone Girlfriend wang mkosaji kutokana na makosa yangu ambayo sijayatambua labda.
Sio kwamba akija ofisini naleta mapenzi badala ya kazi. Huwa namuhudumia vizuri tu kama wateja wengine. Sio mbaya kuzungumza nae kuhusu mahusiano pia pale tunapopata nafasi ya kuwa wawili kwenye mazingira ya ofisi. Mmenielewa vibaya
Nifanyeje ili kuAct Normal? Nisaidie BossUmeeleweka vizuri mkuu, shida yako wewe ni hisia zimekuzidia kiasi cha kushindwa kujicontrol, hiyo ni mbaya hasa kama Binti atalijua hilo anaweza kutumia kama siraha ili akuangamize.
Sema utakua sawa coz mapenzi huwa yako na hatua na hatua za mwanzo kabisa huwa yanakua kama ulivyo wewe, ila hii hali huwa inaenda kwa kupokelezana, kwahiyo kama huyo mrembo wako Hana mtu mwingine zaidi ya wewe basi na yeye hii hali itamkuta wakati wewe utakapokua tayari uko normal.
Kwahiyo na yeye atapitia hiko kipindi then baadae nae atapona na wote mtakua kwenye mzani ulio balance.
Yote kwa yote hali hii huwa ni moja ya vielelezo vya kukufanya ujue ya kwamba mtu fulani unampenda, kwahiyo wewe umependa mkuu.
Ongeza machaguo.Nifanyeje ili kuAct Normal? Nisaidie Boss
KivipiOngeza machaguo.
Kama nakuelewa hv mkuuHakupendi ndo ukweli huo,mwanamke anakupenda atakupa mda wake
Ipo hivyo mkuu jitahidi kukontrol hisia zakoKama nakuelewa hv mkuu
Ndo maana nawauliza nyie wataalamu, ni namna gan naweza kuControl?U
Ipo hivyo mkuu jitahidi kukontrol hisia zako
Tafuta demu mwengi e ugegede, huyo unaona bado unamkubuka ex wako tafuta mwengine gegeda...repeat the process mpaka pale utakapo ona sasa ex ni kenge tuuNina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri
Ofisi yangu inapatikana karibu na nyumbani kwao, ila kinachonishangaza, huwa haji kama Girlfriend wangu, anakuja kama mteja. Akifika na nikamuongelesha kama Boyfriend ila haoneshi kukubaliana na ninachomuongelesha. Haniangalii, anaangalia pembeni..
Nikimwambia mambo ya msingi na yenye kustawisha mahusiano yetu anajibu kwa mkato, mfano "Sawa" "Nimekuelewa" "Aya". Kwa mfano nikitishia kuachana nae, anajibu "Sawa kama umeamua". Mambo ni mengi..
Sasa me nahtaji nisimuabudu. Nimeshaharibu kumkalia kimya nimeshndwa. Nimejarbu kuAct kigumu ila kuna muda nalegea tena. Nahisi hana upendo wa dhati kwangu, NIFANYE NINI??
Usiwe unamtafuta Mara kwa mara muache aanze kukuyafuta yeye,akipiga kimya na week pig kimyaNdo maana nawauliza nyie wataalamu, ni namna gan naweza kuControl?
Rudia kuisomaKivipi
Nimesndwa kukuelewa, malizia tu fazaRudia kuisoma
👊Usiwe unamtafuta Mara kwa mara muache aanze kukuyafuta yeye,akipiga kimya na week pig kimya