Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

Atleast hata wewe mkuu, umenieleza. Nimeleta topic ili nipate ushauri, sio kupondwa. Hata kama nimekosea natakiwa kuelezwa kwenye namna ambayo inasaidia kwasababu hii ni ishu ya kihisia. Kwa mtu mwenye uelewa ataona kabsa hapo ni namna gan hisia zimeizidi akili. So, nishauriwe namna ya kupambana na hizo hisia maana akili yangu naona kama imezidiwa.

Sio kila mtu ataanza kuwa expert kwenye mambo fulani, huwa anaanza kuteswa kwanza then anajifunza siku had siku. Maybe mimi ndo nina tatizo, nielezwe kwa namna inayofaa. Pia nielekezwe ili nisirudie makosa yatakayofanya nimuone Girlfriend wang mkosaji kutokana na makosa yangu ambayo sijayatambua labda.

Sio kwamba akija ofisini naleta mapenzi badala ya kazi. Huwa namuhudumia vizuri tu kama wateja wengine. Sio mbaya kuzungumza nae kuhusu mahusiano pia pale tunapopata nafasi ya kuwa wawili kwenye mazingira ya ofisi. Mmenielewa vibaya
 
Umeeleweka vizuri mkuu, shida yako wewe ni hisia zimekuzidia kiasi cha kushindwa kujicontrol, hiyo ni mbaya hasa kama Binti atalijua hilo anaweza kutumia kama siraha ili akuangamize.

Sema utakua sawa coz mapenzi huwa yako na hatua na hatua za mwanzo kabisa huwa yanakua kama ulivyo wewe, ila hii hali huwa inaenda kwa kupokelezana, kwahiyo kama huyo mrembo wako Hana mtu mwingine zaidi ya wewe basi na yeye hii hali itamkuta wakati wewe utakapokua tayari uko normal.

Kwahiyo na yeye atapitia hiko kipindi then baadae nae atapona na wote mtakua kwenye mzani ulio balance.

Yote kwa yote hali hii huwa ni moja ya vielelezo vya kukufanya ujue ya kwamba mtu fulani unampenda, kwahiyo wewe umependa mkuu.
 
Nifanyeje ili kuAct Normal? Nisaidie Boss
 
Tafuta demu mwengi e ugegede, huyo unaona bado unamkubuka ex wako tafuta mwengine gegeda...repeat the process mpaka pale utakapo ona sasa ex ni kenge tuu
 
Kwahiyo ukiwa unamtishia kumuacha unataka akujibuje? Au alie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aiii mwambie sisterhood tuko proud na yeyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ofisi yako kama si duka la mangi basi ni kibanda cha kuweka movie.
 
Naweza nikakadilia umri wako mleta uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…