Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
2,476
Reaction score
2,371
Waungwana kuna kijina hapa maeneo ya jamaica camp ameniomba msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi hii ni mara nilipowaambia kuwa mimi nilivuta mara moja na nikaacha baada ya kuniletea madhara.

Amesema amejaribu kujizuia asivute lakini ameshindwa pia wazazi wake wamenitaka niwasaidie ili mtoto wao aiache bangi.

Kama kuna mtu anajua dawa au mbinu anisaidie kumuokoa.

====
 
"Kuna wabunge najiuliza huwa wanaivuta bhange ya wapi?"
Mwambie....a "Jikubali'' anaweza kuwa "Bob Marley".
 

Mwambie Awe Ananusa Sana VINYESI Vya Wazee na Wendawazimu na Ataichukia Bangi na Kuwa Kijana Mwema.
 

Ulivuta mara moja ikakuletea madhara? How?

cc asakuta same, donlucchese
 
Last edited by a moderator:
Kwani wakati alipoanza kukipuliza alitumia njia gani?
Mwambia aanze kutembea uchi ndo dawa
 
Akavutie "central " ataacha tu. Hakuna jabali wa sentro hata siku moja!
 

mpe pole...hii kitu si nzuri...
 
yataka moyo,,zinavutia sana kwa addicts...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…